Mara moja
Ada ya Ufungaji
Hulipwa mara moja shule yako inapoanza kutumia ShuleXpert.
TZS 1,000,000
Setup ya mara moja
Kinachojumuishwa
- Mafunzo ya kitaalamu: Vikao vya vitendo kwa Admin, Walimu, Staff na Accountant
- Ada za wewezeshaji wataalamu: Wataalamu wanaotoa uanzishaji na mafunzo kwa majukumu
- Setup ya cloud storage salama: Hosting ya data ya shule, backup na environment
- Usanidi wa mfumo: Miaka ya masomo, madarasa, muundo wa ada, majukumu na branding
- Msaada wa go-live: Checklist ya uzinduzi na msaada wa wiki ya kwanza
- Msaada wa uhamishaji wa data: Mwongozo wa kuingiza wanafunzi, wazazi na rekodi zilizopo