Ufungaji ni ada ya mara moja ya TZS 1,000,000. Inajumuisha mafunzo, ada za wewezeshaji, setup ya cloud storage, usanidi wa mfumo, msaada wa go-live na uhamishaji wa data.
TZS 500 kwa mwanafunzi hai kwa mwezi. Inajumuisha SMS, msaada endelevu, updates na usalama, portal ya wazazi, uptime/backup na uboreshaji wa vipengele.
Preschool, primary, secondary na advanced (O-level / A-level) zinaweza kuendesha ShuleXpert.
Ndiyo. Shule zinaweka muundo wa ada, kutengeneza control numbers, kufuatilia malipo na kutuma vikumbusho vya SMS kwa wazazi.
Ndiyo. ShuleXpert inaunga mkono vifaa vya fingerprint vya ZKTeco, usawazishaji wa School Agent na SMS za mahudhurio kwa wazazi.
Ada na malipo, mahudhurio, mitihani na matokeo, lesson plans, scheme of work, ratiba, maktaba, store, hosteli, SMS, portal ya wazazi, portal ya walimu na usimamizi wa utendaji, jukwaa moja lililounganishwa.
Shule nyingi huanza ndani ya siku chache baada ya ufungaji. EmCa Techonology inashughulikia usanidi, mafunzo ya majukumu na msaada wa wiki ya kwanza.
Ndiyo. Walimu na wazazi wanaweza kupakua APK ya Android ya ShuleXpert kwa arifa za vipindi, mahudhurio, matokeo na taarifa za shule.
ShuleXpert inaendeshwa na EmCa Techonology (Moshi, Kilimanjaro). Wasiliana emca@emca.tech au +255 749 719 998.
Msaada endelevu umejumuishwa kwenye usajili wa kila mwezi. Wasiliana na EmCa Techonology kwa simu, barua pepe au ukurasa wa Contact kwa Admin, Mwalimu, Mzazi na Staff.
No questions match your search. Try another keyword or contact us.