ShuleXpert mfumo bora wa shule Tanzania, school management system in classrooms

Kwa nini shule zinachagua sisi

Imejengwa kwa shule duniani

Kutoka shule moja hadi taasisi zenye matawi mengi, ShuleXpert inaunganisha usimamizi, taaluma, fedha, na mawasiliano na wazazi, kwa branding ya shule, mwaka wa masomo, na portal za Admin, Walimu, Staff, Wazazi, na Watchmen.

Hakuna tena spreadsheet zilizotawanyika. Mfumo mmoja wa shule kwa uandikishaji, ada, mahudhurio, mitihani, maktaba, store, hosteli, nidhamu, na utendaji wa kimkakati, mfumo wa shule unaoaminika Tanzania na kwingineko.

Mfumo bora wa shule Tanzania

Unatafuta mfumo wa shule au mifumo ya shule? ShuleXpert ni mfumo namba moja wa shule Tanzania, kamili kwa usimamizi wa taaluma, fedha, mahudhurio na mawasiliano na wazazi.

Kwa nini ShuleXpert?

Mifumo bora ya shule Tanzania inahitaji zaidi ya spreadsheet. ShuleXpert inatoa mfumo wa taaluma, ada na control numbers, mahudhurio ya biometric, mitihani na matokeo, mipango ya masomo, scheme of work, na portal ya wazazi, kwenye jukwaa moja. Ni mfumo bora wa usimamizi wa shule kwa preschool, primary, secondary na advanced.

Shule nyingi hutafuta pia majina kama shulesoft. ShuleXpert ni jibu la kisasa: mifumo bora ya shule duniani yenye branding ya shule yako, msaada wa EmCa Techonology, na moduli zinazofanya kazi kila siku shuleni.

Programu ya shule inayotumika kweli

Endesha ada, mitihani, mahudhurio, timetable, SMS, maktaba, na maombi mtandaoni kwenye mfumo mmoja wa shule. Chunguza Moduli, Bei, au anza Maombi Mtandaoni.

  • Mfumo wa shule Tanzania, wavuti na simu
  • Programu ya usimamizi wa shule Afrika na duniani
  • Mitihani, ada, na mahudhurio mahali pamoja
  • Portal ya wazazi na arifa za SMS

Hatua ijayo

Uko tayari kubadilisha shule yako kidijitali?

Zungumza na EmCa Techonology kuhusu uanzishaji, mafunzo, vifaa vya biometric, na ujumuishaji wa malipo.

Developer, Senior Developer, EmCa Techonology

Developer

Senior Developer

ShuleXpert web platform, mobile applications & school software delivery.

Fee control numbers and SMS reminders transformed our collections. Parents pay with confidence.

School Administrator

Secondary School, Kilimanjaro

Entering results and publishing to parents is finally simple. The teacher portal saves hours every week.

Subject Teacher

High School, Moshi

I get attendance and results on my phone. Fee balances are clear, I always know what I owe.

Parent

Primary School, Arusha

Anza na ShuleXpert leo